Welcome to Casfeta TAYOMI blog. This is BETA version of this blog so if you have anything to add or suggest please contact us on any comment Box and we will get back to you for improvement of the site
  • Breaking News

    Friday, 19 February 2016

    KIKAO NA UGENI KUTOKA OFISI YA TAYOMI TAIFA

    KIKAO CHA VIONGOZI WA MKOA CASFETA TAYOMI(UDOM, SOCIAL SCIENCES)
    Ni kikao kilichofanyika siku ya 13 mwezi wa pili 2016. wajumbe walikua ni viongozi wote wa mkoa wa ngazi zote kuanzia shule za msingi, sekondari, vyuo vya kati pamoja na vyuo vikuu. ulikua ni mkutano wa ajabu kwani mkurugenzi mkuu wa casfeta tayomi (Erick Rungwe) alikuwepo akiambatana na wageni nane raia wa Ujerumani. mlezi wa casfeta Tayomi wa chuo cha UDOM na mwenyekiti wa taifa wa elimu aliambatana na ugeni huo kama mwenyeji.
    Ufuatao ni mchanganyiko wa picha na matukio mbalimbali yaliyojiri siku hiyo
    Emmanuel Ayubu(Makamu Mwenyekiti)

    Kingozi wa EEMC taifa

    Pili Mganga (Mweka hazina )


    Mwenyekiti wa CASFETA TAYOMI UDOM

    Mch. Erick Rungwe Mkurugenzi mkuu wa CASFETA TAYOMI TAIFA

    Wageni kutoka Ujeruman wakiendeleaa kuhudumu kwa viongozi wote wa matawi mkoa wa DODOMA



    Baba Suleman Mlezi wa Casfeta Tayomi UDOM




    Viongozi wa matawi mbali mbali ya CASFETA TAYOMI Mkoa wa DODOMA wakiendele kupokea kwenye semina

    No comments:

    Post a Comment

    Stay in touch

    Bofya hapa
    kuona matukio ya Mkutano wa Injili wa Inreach ya kanda ya Nyanda za juu kusini.

    Mawasiliano

    CASFETA TAYOMI
    UNIVERSITY OF DODOMA

    Mwenyekiti
    Daniel Saguda M
    +255 753 265 547
    sagudamakuju352@gmail.com

    Makamu mwenyekiti
    Alfreid Benjamin
    +255 754 278 044
    +255 683 075 603
    alfredkiyega@gmail.com

    Katibu Mkuu
    Yosepha Nyakunga
    +255 744 088 978
    yosephanyakunga@gmail.com

    Katibu Msaidizi
    Charles Maganga
    +255 754 599 281
    magangaj850@gmail.com

    Mhazina
    Ndimyake Anganile
    +255 764 133 152
    anganilendimyaki@gmail.com

    Mhazina Msaidizi
    Manyara Helmenegilda
    +255 659 275 793
    manyarahelmenegilda@gmail.com

    Kaka Wa Wakaka
    Yusuph Magaka
    +255 766 196 444

    Dada Wa Wadada
    Sara Sambe
    +255 766 939 415

    Social Network

    You can follow us on Facebook