Bwana Yesu asifiwe. Hakuka Bwana amekuwa mwema sana kwetu. Ni neema ilotukuka tusiyoistahili kupata nafasi ya kuhubiri Neno la Mungu. Kwa mara nyingine wanafunzi wa UDOM wanaopatikana katoka maeneo ya nyanda za Juu Kusini wamepata kibali na nafasi ya kuhubiri Neno la Mungu. Mkutano huo unaoendela emeanza kuanzia siku ya tarehe 10 Oktoba na utakamika siku ya jumapili ya tarehe 16 Oktoba kijijini hapo.
Unaweza kuwatanzama katika matukio picha kama wanavyoendelea....
(Nikuombe radhi kwa ubora wa picha)
No comments:
Post a Comment