Welcome to Casfeta TAYOMI blog. This is BETA version of this blog so if you have anything to add or suggest please contact us on any comment Box and we will get back to you for improvement of the site
  • Breaking News

    Wednesday, 26 October 2016

    MWAKA MPYA WA MASOMO 2016/2017

    Bwana Yesu asifiwe. 
    Kwa ushindi mkuu tuliopewa na Yesu Kristo Bwana wa Wokovu wetu. Ni kwa neema ya ajabu tunapata nafasi nyingine kwaajili ya kuanza muhula mpya wa masomo 2016/2017. Nadhani kwa upande wako, moyo wako unakushuhudia jinsi Mungi alivyokupigania kwa mwaka uliopita (Continuous) na kwa mchakato wa kuchaguliwa kwa mwaka wa kwanza. 

    Nasema tena karibu chuo kikuu cha Dodoma.  
    Timu kwaajili ya upokeaji wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa Vitivo vyote zitakuwepo katika maeneo ya chuoni kwaajili ya kuwakaribisha katika mazingira mapya ya chuo pamoja na kuwaelekeza wanafunzi hao Venue kwaajili ya Ibada kwa Vitivo vyote. 
    Hivi punde matangazo na taarifa za viongozi wa kila Kitivo zitawekwa kwenye blog hii ya CASFETA TAYOMI kwaajili ya maulizo yote utakayokuwa nayo wakati wa kuripoti.
    Timu ya mapokezi itakuwa tayari si tu kuwaelekeza kuhusu ibada bali kitu chochote ambacho kanahusika na chuo. 
    Usisite kuuliza jambo lolote pindi utakapokuwa katika hali ya sintofahamu.
    Mungu akubariki sana.

    Mwenyekiti wa Injili na kamati ya Mapokezi 
    +255 755 023 353 
    Sabhuni Stewart


    Nembo ya Chuo kikuu cha Dodoma
    Jengo la Utawala mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma.

    2 comments:

    1. GOD BLESS YOU FOR PROVIDING ESSENTIAL INFOOO
      I HOPE THAT U WILL BE VERY PUNCTUAL GIVING RIGHT INFO AT RIGHT TIME
      GOD BLESS U MR IT

      ReplyDelete
    2. Karibuni sana freshers Tupo kwa ajili yenu

      ReplyDelete

    Stay in touch

    Bofya hapa
    kuona matukio ya Mkutano wa Injili wa Inreach ya kanda ya Nyanda za juu kusini.

    Mawasiliano

    CASFETA TAYOMI
    UNIVERSITY OF DODOMA

    Mwenyekiti
    Daniel Saguda M
    +255 753 265 547
    sagudamakuju352@gmail.com

    Makamu mwenyekiti
    Alfreid Benjamin
    +255 754 278 044
    +255 683 075 603
    alfredkiyega@gmail.com

    Katibu Mkuu
    Yosepha Nyakunga
    +255 744 088 978
    yosephanyakunga@gmail.com

    Katibu Msaidizi
    Charles Maganga
    +255 754 599 281
    magangaj850@gmail.com

    Mhazina
    Ndimyake Anganile
    +255 764 133 152
    anganilendimyaki@gmail.com

    Mhazina Msaidizi
    Manyara Helmenegilda
    +255 659 275 793
    manyarahelmenegilda@gmail.com

    Kaka Wa Wakaka
    Yusuph Magaka
    +255 766 196 444

    Dada Wa Wadada
    Sara Sambe
    +255 766 939 415

    Social Network

    You can follow us on Facebook