Safari ilianza majira ya saa 1 asubuhi kutoka chuo kikuu cha dodoma ,ilikuwa ni safari ndefu ikiambatana na mvua kunyesha katikati ya safari tunamshukuru mungu kutusafirisha salama hadi kufika kahama mjini.Tulifikia kwenye kanisa la EAGT jerusalemu kwa mchungaji GWAMIE tunashukuru mungu kwa kupokelewa kwa furaha na wachungaji na washirika wa umoja wa makanisa kahama .Hizi ni picha za safari ya kwenda outreach kahama siku ya 4/3/2017....
Baada ya kufika tulifanya ibada ya kumshukuru mungu kwa safari tukikabidhi mkutano kwa mungu tukiambatana na wachungaji na walezi waliotupokea katika kanisa la EAGT jerusalemu ,zifuatazo ni picha zilizopigwa kwenye ibada .......
Kazi nja sana hiyo
ReplyDelete