huku hali ya hewa ikiwa nzuri kabisa jua likiwaka na kujaa watu , zifuatazo ni picha za siku ya kwanza....
Siku ya kwanza ilikuwa ni siku ya jumapili tarehe 5/3/2017 ilifunguliwa kwa ushindi na mungu akajifunua kwa namna ya ajabu asubuhi tuligawanyika kwenda makanisani na jioni kuanzia saa tisa tulianza mkutano katika uwanja wa Magufuli na kwaya za wenyeji zikipamba jukwaa,zifuatazo ni picha za baada ya kutoka makanisani na maandalizi ya mkutano.....
huku hali ya hewa ikiwa nzuri kabisa jua likiwaka na kujaa watu , zifuatazo ni picha za siku ya kwanza....
huku hali ya hewa ikiwa nzuri kabisa jua likiwaka na kujaa watu , zifuatazo ni picha za siku ya kwanza....
No comments:
Post a Comment