College of Education (COED) ni moja wapo ya kitivo kilichopo kwenye eneo la UDOM. Wanafunzi wanaopatika katika koleji hii ni wanafunzi wanaosoma Ualimu Bachelor of Education (BED..) Kwa kutokea Jamatini, stand ya daladala unapanda daladala za kuelekea Ng'ong'ona. Kwa kushuka mwisho wa kituo utakuwa kwenye kituo cha mwisho kiitwacho Library.
Chumba cha Ibada cha CASFETA TAYOMI ni Theater 3 iliyopo upande wa pili wa barabara baada ya Cafeteria ya Kwa Muafrika/Alfa Cafeteria.
Muda wa Ibada ni kila siku za Jumatatu,Jumatano na Ijumaa kuanzia saa 19:30 Usiku kwa siku izo za Ibada.
Kwa mawasiliano zaidi ya viongozi na maulizo unaweza kuwasiliana na viongozi wa Kitivo hicho
- Mwenyekiti - Jeremia Yohana
- Katibu - Naomi Kuzenza
No comments:
Post a Comment