wachungaji wakiendelea kujitambulisha kwa wanachuo baada ya kuwasili mjini MONDULI

Umoja wa wanafunzi waliookoka mashuleni pamoja na vyuoni ujilikanao kama CASFETA TAYOMI tawi la UDOM wameweka kambi ya siku nane kuanzia siku ya jana (21-Machi-2016) katika viwanja vya Polisi kwenye mji wa Monduli mjini. Wameweka kambi rasmi kwaajili ya kupiga Gombo na kuhakikisha injili inahubiriwa kama andiko la Mathayo 28:19 "Basi, Enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi......"
Baadhi ya matukio yapo pichani kama yanavyojieleza.
Picha kabla ya safari kutoka kitivo cha Humanitia
Anderson akiwa kwenye siti yake tayari kujiandaaa na safari ya kuelekea Outreach
Mabasi kabla ya kuondoka kwenye viwanja vya Chimwaga UDOM
Wanapraise and worship Team wakimsifu MUNGU ndani ya gari

Hili ni jengo la UDOM lijulikanalo kama CHIMWAGA Hall, ambapo ndio lilikuwa bunge la zamani kipindi cha Nyerere na sasa linatumika kama ukumbi wa chuo
Tukiwa tumefika MONDULI mjini kanisa la T.A.G (GCC)
Wanapraise wa kimsifu MUNGU baada ya kuwasili moja kati ya makanisa yaliyotupokea

Ndani ya kanisa la T.A.G mjini

Mwenyekiti wa UDOM Lukas Zebedayo akiwa karibisha wachungaji kwaajili ya utambulisho
wachungaji wakiendelea kujitambulisha
Viongozi wa injili wakipanga mipango na ratiba kwaajili ya kuratibu matukio kwa ujumla
No comments:
Post a Comment