Informatics ni kitivo ambacho kipo ndani ya Udom ambacho kinatoa mafunzo ya Elimu ya computer ikiwa ina course tisa(9), katika Casfeta Tayomi kitivo cha informatics kulikuwa na hicho kitivo lakini mwaka 2014 watu wa kitivo cha Earth Science ambapo kuna course tano(5) walihamishiwa kwenye kitivo hichi na kukawa na muunganiko wa college mbili, kwahiyo ibada zikawa zinafanyika kwa pamoja na watu wote wa Informatics pamoja na Earth Science..
Ibada katika kitivo cha informatics ni kama ifuatavyo:-
1.Jumatatu - Ibada ya Neno la Mungu.
2.Jumanne - Ibada ya Mafundisho ya Elimu/ mafundisho ya Injili.
3.Jumatano - Ibada ya Neno la Mungu.
4.Alhamisi - Ibada ya mafunzo ya Kwaya.
5.Ijumaa - Ibada ya Maombi.
6.Jumamosi - Ibada ya Neno kwa Kiingereza.
7.Jumapili - Ibada ya Kusifu na Kuabudu.
No comments:
Post a Comment