Tunamshukuru Mungu sana kwa nguvu na pumzi aliyotujalia bure ili tuifanye kazi yake angali tunaishi. Matukio katika picha kwa kuanza tangu siku ya kuanzia siku tulipofika kwenye kijiji cha Bahi. Tunawashukuru kwa dhati viongozi wa kijiji cha Bahi wa serikali kwa ukarimu wao waliotukirimia tangu siku ya kwanza mpaka tulipomaliza siku ya nane. Pia viongozi wa umoja wa makanisa ya kipentekoste kwa huduma yao njema na maandalizi ya mazingiza kwaajili ya mkutano. Hakika Mungu atawalipa. TUKAZE MWENDO ILI TUKUTANE NA TAJI YETU MBINGUNI.
Matukio ya siku ya kwanza ya kufika katika kijiji cha Bahi kwenye kanisa la EAG(T) Bahi. Yaliyomo kwa chini ni ,atukio katika picha zikiwa na vielelezo.
Sifa na kuabudu kwa aawamu ya kwanza |
View ya mbali kwa mahali pa kuandada chakula |
Wahusika wa kamati ya chakula |
Moja ya jengo la malazi kanisani |
Viongozi wa kamati kuu na baadhi ya wachungaji wenyeji wakibadilishana mawazo. |
Watoto wenyeji kwenye kijiji cha Bahi tulipofikia. |
Praise and worship kwa awamu ya pili |
Praise and Worship kwa awamu ya pili |
Praise and Worship kwa awamu ya pili |
Mchungaji mwenyeji wa kanisa la EAGT |
Mmojawapo wa wachumgaji wenyeji |
Mwenyekiti akiteta machache |
Katibu msaidizi akitoa utaratibu wa mambo machache |
Viongozi wa kamati kuu na wachungaji wenyeji |
Wakati wa kupata chakula cha jioni. |
Wakati wa kupata chakula cha jioni. |
Wakifuarahia mlo wa jioni |
Asajile pamoja na Dada Mitnes |
No comments:
Post a Comment