Ibada ya jumapili kwenye moja makanisa yakipentekoste yanayoshirikiana na Casfeta Tayomi UDOM kwenye Mkutano |
Bwana Yesu asifiwe. Maelezo mafupi kwa siku ya kwanza ya mkutano tulioufanya kwenye kijiji cha Bahi mkoani Dodoma.
Tuliiianza siku kwa maombi ya alfajiri na kisha usafi wa mazingira yanayotuzunguka. Mapema siku ya jumapili kwa kuhudhuria Ibada kwenye makanisa mbalimbali kwenye kijiji cha Bahi. Tulipa nafasi ya kukutana wapendwa wenzetu tunaoishindania Imani moja. Tulitiwa moyo sana kwa kuona tupo wengi.
Baadaye mchana majira ya saa 9 alasiri tulianza mkutano wa uwanjani na ulifunguliwa na mgeni rasmi/mwenyeji (Uongozi wa Serikali). Na baadae kazi ya kuihubiri Injili ilianza rasmi katika Kijiji cha Bahi.
Tuliimaliza siku kwa kwa mahubiri ya awamu ya pili kwa usiku pamoja na sinema na baadae tulirudi kambini na kuendelea na taratibu za maombi pamoja kupumzika.
Mchungaji wa kanisa la kipentekoste kwenye kijiji cha Bahi |
Wakati wa sifa na kuabudu kwenye moja ya makanisa Casfeta Tayomi tuliyoabudu pamoja |
Kanisa la Kipentekoste |
Wanafunzi wa UDO Casfeta Tayomi wakimwabudu Mungu kwenye ibada ya kanisa mojawapo |
Watoto wa kanisa la kipentekoste wenyeji |
Wanafunzi wa UDOM,Casfeta Tayomi wakiongoza ibada ya sifa na kuabudu makanisani |
Kwaya ya kanisa wenyeji Casfeta Tayomi ilipohudumu |
Idara ya vyombo wakiendelea kujiandaa kwaajili ya mkutano |
Kamati kuu pamoja na wahudumu wa mkutano wakipata chakula cha mchana |
Kamati kuu pamoja na wahudumu wa mkutano wakipata chakula cha mchana |
Kamati cha chakula wakifanya usafi wa vyombo wa chakula cha mchana |
Moja ya mpiga picha wa idara inayokufanya uone picha hewani hivi |
Mwanafunzi mlemavu ambaye naye pia yupo kwenye msafara wa injili |
Mwanafunzi pichani |
Wakati wa kusifu na kuabudu kwenye mkutano |
Muongoza sifa |
Timu ya kusifu na kuabudu wakihudumu mkutanoni |
Wanafunzi mkutanoni |
Wapendwa wa Bahi waliohudhuria kwenye mkutano |
Utamu wa kusifu na kuabudu ni kuingia ndani kujumuika. wakati wa sifa na kuabudu |
Pia mavuvuzela yalitumika kumsifu Mungu |
Kwa Yesu raha sana. wakati wa sifa na kuabudu |
Mama mchungaji wa kanisa la EAG(T) Bahi akifuatilia mkutano |
Mmojawapo wa waliohudhuria mkutano aliyeaamua kumpa Yesu maisha akisindikizwa |
Watoto wakifuatia mkutano kwa mbali |
Wakuu wa msafara wakiendelea kufuatilia mkutano |
No comments:
Post a Comment