Welcome to Casfeta TAYOMI blog. This is BETA version of this blog so if you have anything to add or suggest please contact us on any comment Box and we will get back to you for improvement of the site
  • Breaking News

    Monday 1 August 2016

    SIKU YA PILI YA MKUTANO WA INREACH. WILAYA YA BAHI

    Ni siku ya pili ya mkutano katika mkutano wetu unaoendelea hapa Bahi. Hakika tumemuona Mungu akiwa upande wetu na akitupigania sana. Tulianza siku kwa uinjilishaji wa nyumba kwa nyumba mapema asubuhi kabla ya kuanza mkutano wa uwanjani jioni na kumaliza kwa mkutano wa usiku ulioambatana na sinema. 
    Yafuatayo chini ni matukio katika picha kuanzia ushuhudiaji mpaka wakati wa usiku kwenye kumalizia mkutano kwa siku ya kwanza.


    Pozi la watumishi wakisubiri mkukutano wa mchana kuanza


    Mapumziko kabla ya mkutano wa jioni


    Watu wa sifa na kuabudu wakijiandaa kuanza kuhudumu

    Kwaya ya Kitivo cha Humanitia (UDOM) wakihudumu Mkutanoni

    Wana UDOM Casfeta TAYOMI wakimsifu Mungu

    Wana UDOM Casfeta TAYOMI wakimsifu Mungu

    Wana UDOM Casfeta TAYOMI wakimsifu Mungu

    Kweli siyo mazingaumbwe bali ni nguvu za Yesu

    Wana UDOM Casfeta TAYOMI wakimsifu Mungu

    Wana UDOM Casfeta TAYOMI wakimsifu Mungu

    Kwaya ya Kitivo cha Elimu ikihudumu mkutanoni.

    Wanabahi wakiendelea kufuatilia mkutano

    Watu wakimsifu na kumwabudu Mungu

    Watu wakimsifu na kumwabudu Mungu

    Wana Bahi wakifuatilia mkutano kwa tabasamu

    Yesu Yesu,,Yesuuuuuuuu



    Kipindi cha kusifu na kuabudu

    Yesu lazima asifiwe

    Mmoja wapo wa wanakijiji wakifuatilia mkutano


    Wakati wa sifa na kuabudu

    Yesu anasifiwa.

    Majeshi majeshi, Majeshi ya Bwana

    Erick Nestory mwanafunzi wa UDOM akifuatilia maombi

    Kiongozi wa wimbo kwaya ya Kitivo cha Elimu

    Sifa na kuabadubu

    Sare sare mauwaaaa, wakijongea na mkutanoni

    Muimbaji kijiji Bahi akihudumu mkutanoni

    Sifa na kuabudu

    Wachungani wa Umoja wa makanisa ya kipentekoste wakifuatia mkutano

    Mama akifuatia mkutano wakati wa sifa na kuabudu.

    Wakati wa sifa na kuabudu.

    Wanakijiji wakifuatilia kipindi cha sifa na kuabudu



    Wanakijiji wakifuatilia kipindi cha kusifu na kuabudu

    Ezekiel pamoja na mwenyekiti wa kitivo cha Elimu wakifuatilia mkutano


    Makamu mwenyekiti Emanuel Ayoub

    Makamu mwenyekiti akifuatilia mkutano

    Watu wakifuatilia mkutano kwenye sifa na kuabudu

    Kiongozi wa sifa pamoja na wajaza sauti jukwaani

    Naomi Kuzenza (Katibu mkuu) ambaye pia ni muimbishaji sifa akihudumu mkutanoni

    Juu kwa juu tunasifu



    Mwenyekiti Ndg. Lucas Zebedayo akiteta jambo na makutano wakati wa ufunguzi



    Katibu wa Injili Ndg. Stewart Saburi

    No comments:

    Post a Comment

    Stay in touch

    Bofya hapa
    kuona matukio ya Mkutano wa Injili wa Inreach ya kanda ya Nyanda za juu kusini.

    Mawasiliano

    CASFETA TAYOMI
    UNIVERSITY OF DODOMA

    Mwenyekiti
    Daniel Saguda M
    +255 753 265 547
    sagudamakuju352@gmail.com

    Makamu mwenyekiti
    Alfreid Benjamin
    +255 754 278 044
    +255 683 075 603
    alfredkiyega@gmail.com

    Katibu Mkuu
    Yosepha Nyakunga
    +255 744 088 978
    yosephanyakunga@gmail.com

    Katibu Msaidizi
    Charles Maganga
    +255 754 599 281
    magangaj850@gmail.com

    Mhazina
    Ndimyake Anganile
    +255 764 133 152
    anganilendimyaki@gmail.com

    Mhazina Msaidizi
    Manyara Helmenegilda
    +255 659 275 793
    manyarahelmenegilda@gmail.com

    Kaka Wa Wakaka
    Yusuph Magaka
    +255 766 196 444

    Dada Wa Wadada
    Sara Sambe
    +255 766 939 415

    Social Network

    You can follow us on Facebook