| Ndugu Kalemela ambaye alikua Mhudumu akichapa injili kwenye mkutano kwenye awamu ya mchana. |
| Mmoja wa wachungaji wa makanisa ya kipentekoste akifuatilia mkutano kwa umakini. |
| Watu waliopita mbele kwaajili ya maombezi na ukiri wa kumpokea Yesu |
| Ndugu Ezekiel Mwakding'a akitoa maelezo ama mwalimu wa watoto wa rika la kati. |
| Wachungaji wa Bahi pamoja na mwenyekiti wa Casfeta Tayomi(Mwenye shati jeupe) wakifuatilia mkutano. |
| Mhudumu wa zamu ya usiku ikiichapa injili mara tu baada ya sinema |
| Watu waliopita mbele kwaajili ya kumpokea Yesu wakiongozwa sala ya toba |
| Watoto nao hawakupitwa katika mkutano kwa majira ya usiku. |
| Watu wakipita mbele baada ya kuamua kuacha ya kale na kutaka kufanywa upya na Bwana Yesu. |
| Wanawake wa Bahi wakifuatilia mkutano wakati wa mchana |
| Wanafunzi wa UDOM katika praise and worship wakati wa mchana |
| Mwenyekiti wa UDOM na makamu wake ndugu Emanuel Ayoub wakiteta jambo wakati wa mkutano |
| Wana UDOM waliendelea kutoa huduma za maji pamoja na vitabu mbalimbali ikiwemo Biblia kwenye benchi la mauzo |
| Praise and Worship |
| Katibu mkuu pamoja na katibu msaidizi UDOM wakiwa pamoja kwenye picha. |
| Kwaya ya wenyeji wa Bahi wakihudumu kwenye mkutano. |
| God bless Tanzania |
| Mama mchungaji wa kanisa la EAGT Bahi(Mwenye mic akiongoza wimbo wa kwaya ya kanisa hilo) |
No comments:
Post a Comment