Siku ya saba ilikuwa ni siku ya jumamosi tarehe 11/3/2017 ambapo mkutano ulikuwa umehamishwa kutoka katika uwanja wa milango kumi mpaka katika uwanja wa kanisa la EAGT jelusalemu. BWANA alijifunua kwa namna ya ajabu muitikio wa watu ukiongezeka na kwaya za wenyeji zikiwa zinajitokeza kwa namna ya ajabu.
Thanks mr it i can see panctuality.GOD bless you all there for the tough work you have had brethren
ReplyDeleteHongereni I.T wetu kwa kazi njema mliyoifanya tunafurahia na kuona matukio mbalimbali
ReplyDeleteGood
ReplyDelete