Siku ya sita ilikuwa ni siku ya ijumaa tarehe 10/3/2017 ilikuwa ni siku yenye hali ya hewa nzuri kabisa na ni siku ambayo pia mungu alijifunua kwa namna ya ajabu na ya tofauti akitenda maajabu na miujiza ,kwaya za wenyeji zilizidi kujitokeza kushirikiana na wanachuo kwenye mkutano.Watu wenye shida mbalimbali walizidi kujitokeza zaidi wakiitaji msaada wa mungu na mungu wetu alitenda makuu kwao.
No comments:
Post a Comment