Siku ya tano ilikuwa ni alhamisi tarehe 9/3/2017 mchawi aliyekusudi kualibu mkutano alijikuta anakamatwa baada ya kusogea mbele na akafunguliwa kutoka katika nguvu za kichawi na kuwekwa huru kabisa, watu walijitokeza wenyewe kumpokea bwana yesu wakiwepo watu walioubiriwa injili ya mlango kwa mlango au nyumba kwa nyumba .Wenye magonjwa walijitokeza kupokea uponyaji na wakafunguliwa na dada mmoja akajitokeza kushuhudia matendo makuu ya mungu aliyo mtendea.Zifuatazo ni picha za siku hiyo....
Pia wanafunzi wa mashuleni walifikiwa pia na kushirikiana nao katika ibada pamoja na uwaelekeza na kuwafundisa mambo mbalimbali ya shule na neno la mungu na walishukuru mungu sana........
\
My heart has been touched thanks that u reached out even to believers in schools
ReplyDelete