Siku ya nne ilikuwa ni siku ya jumatano mungu alionekana kwa namna ya tofauti sana siku ilikuwa na hali ya hewa ilikuwa nzuri kabisa .Kwaya za wenyeji zilishirikiana na wanachuo vizuri kabisa na kuna watu walitaka kujaribu kuaribu mkutano lakini mungu aliwaaibisha wakakamatwa na kufunguliwa kutoka katika vifungo vyao, zifuatazo ni picha za siku hiyo ....
No comments:
Post a Comment