Siku ya tatu ilikuwa siku ya jumanne tulimuona matendo ya ajabu ya BWANA hali ya hewa ilikuwa nzuri kabisa na mkutano ulichangamka na Mungu aligusa watu na aliwafungua katika vifungo mbalimbali huku kwaya za wenyeji zikiwa zinashiriki vyema kabisa ,hizi ni picha za zilizochukuliwa siku hiyo......
No comments:
Post a Comment