Welcome to Casfeta TAYOMI blog. This is BETA version of this blog so if you have anything to add or suggest please contact us on any comment Box and we will get back to you for improvement of the site
  • Breaking News

    Friday, 16 March 2018

    DAY 04 OUTREACH NZEGA TABORA

    Siku ya nne pia kulikuwa moto ule ule Roho wa Mungu aliendelea kuonekana akiwa na makamanda wa Casfeta Tayomi UDOM baada ya matendo makuu kueenenda pamoja nao. Wanapraise walikuwa katika mavazi yao ya white and red wakiwakilisha Roho Mtakatifu na damu ya Yesu iwatakasayo wanadamu wote, kila sekta ilikuwa moto na idara ya IT ikaona vema kukuletea baadhi ya matukio ambayo yamedakwa na kamera zetu!
    Juu ni viongozi wa maombi wakifungua makutano kwa siku ya nne waliitia jina la Bwana Yesu na Roho wa Mungu alishuka na kulihudumia kundi lake





    Huo ndio ulikuwa Muonekano wa wana sifa na maabudu kwa siku ya nne ya Mkutano uliofanyika huko Nzega Tabora mapema Wiki iliyopita

    Mmoja kati ya mchukuwa taarifa na matukio akiwa kwenye harakati za kuhakikisha hakuna jambo linapita bila ya kuonekana kwa jamii
    Jopo la watumishi wa Mungu viongozi wastaafu amabao walimtumikia Mungu mwaka wa uongozi 2016/2017 wakiongozwa na aliyekuwa katibu mkuu wapili kutoka kushoto Mh Nduye


    Jopo la wachungaji ambao walishirikiana nasi katika kuhakikisha kuwa mkutano unafanikiwa wakiwa katika viwanja vya makutano







    Chini ni Katibu wa Huduma akiwa tayari kwa baadhi ya matangazo na protocol mbalimbali kutoka na taratibu za kila siku kwenye mkutano kwa siku ya nne.

    Wanaoonekana hapo juu ni mwenyekiti wa IT UDOM aliyeshika camera na mmoja kati ya wachukuwa taarifa na matukio katika mkutano uliofanyika huko Nzega Tabora

    Juu ni baadhi ya viongozi wakiwa katika mkutano Mwenyekiti wa UDOM aliyekaa kati pamoja na katibu mwenye tai nyekundu pamoja na baba yetu ambaye aliwahi kushika nyazifa tofauti akiwa Udom kitivo cha Humanity kwasasa ni CLPD Mzee Ngwata


    Lengo lilikamilika baada ya Muhubiri wa siku hiyo kusimama na kuyanena maneno hayo ya uzima ambaya yana uzima wa milele pichani ni muhubiri akiwa katika position tafauti tofauti katika kuhakikisha kuwa jina la Bwana Yesu linahubiriwa.





    No comments:

    Post a Comment

    Stay in touch

    Bofya hapa
    kuona matukio ya Mkutano wa Injili wa Inreach ya kanda ya Nyanda za juu kusini.

    Mawasiliano

    CASFETA TAYOMI
    UNIVERSITY OF DODOMA

    Mwenyekiti
    Daniel Saguda M
    +255 753 265 547
    sagudamakuju352@gmail.com

    Makamu mwenyekiti
    Alfreid Benjamin
    +255 754 278 044
    +255 683 075 603
    alfredkiyega@gmail.com

    Katibu Mkuu
    Yosepha Nyakunga
    +255 744 088 978
    yosephanyakunga@gmail.com

    Katibu Msaidizi
    Charles Maganga
    +255 754 599 281
    magangaj850@gmail.com

    Mhazina
    Ndimyake Anganile
    +255 764 133 152
    anganilendimyaki@gmail.com

    Mhazina Msaidizi
    Manyara Helmenegilda
    +255 659 275 793
    manyarahelmenegilda@gmail.com

    Kaka Wa Wakaka
    Yusuph Magaka
    +255 766 196 444

    Dada Wa Wadada
    Sara Sambe
    +255 766 939 415

    Social Network

    You can follow us on Facebook