Welcome to Casfeta TAYOMI blog. This is BETA version of this blog so if you have anything to add or suggest please contact us on any comment Box and we will get back to you for improvement of the site
  • Breaking News

    Saturday, 10 March 2018

    OUTREACH NZEGA DAY 03

    Ashukuriwe kwa siku ya tatu ya Mkutano mana tulimuona Mungu akiwa pamoja nasi kila mahali na kila sekta Mungu alionekana siku ilikuwa ya Baraka sana. Japo baada tu ya maombi ya kufungua mkutano kuanza Mvua kubwa iliibuka na kudhani kama kwamba makamanda wata kaa kusubiri iishe lakini makamanda wa Yesu kutoka Casfeta Tayomi UDOM walimtukuza bwana wakiwa ndani ya mvua kwa mda wa kama saa moja na nusu, Mji ulitaharuki kwa mshangao baada ya makamanda kuzunguruka katika baadhi ya mitaa wakimsifu Mungu.






















    No comments:

    Post a Comment

    Stay in touch

    Bofya hapa
    kuona matukio ya Mkutano wa Injili wa Inreach ya kanda ya Nyanda za juu kusini.

    Mawasiliano

    CASFETA TAYOMI
    UNIVERSITY OF DODOMA

    Mwenyekiti
    Daniel Saguda M
    +255 753 265 547
    sagudamakuju352@gmail.com

    Makamu mwenyekiti
    Alfreid Benjamin
    +255 754 278 044
    +255 683 075 603
    alfredkiyega@gmail.com

    Katibu Mkuu
    Yosepha Nyakunga
    +255 744 088 978
    yosephanyakunga@gmail.com

    Katibu Msaidizi
    Charles Maganga
    +255 754 599 281
    magangaj850@gmail.com

    Mhazina
    Ndimyake Anganile
    +255 764 133 152
    anganilendimyaki@gmail.com

    Mhazina Msaidizi
    Manyara Helmenegilda
    +255 659 275 793
    manyarahelmenegilda@gmail.com

    Kaka Wa Wakaka
    Yusuph Magaka
    +255 766 196 444

    Dada Wa Wadada
    Sara Sambe
    +255 766 939 415

    Social Network

    You can follow us on Facebook