Welcome to Casfeta TAYOMI blog. This is BETA version of this blog so if you have anything to add or suggest please contact us on any comment Box and we will get back to you for improvement of the site
  • Breaking News

    Friday, 9 March 2018

    OUTREACH NZEGA DAY 02

    Baada ya siku ya kwanza ya mkutano kuwa moto na watu au wana Nzega kushangaa namna wasomi wa chuo kikuu kuwa kama watoto wadogo namna ambavyo walikuwa wakimsifu na kumwinua Bwana kwa style zote na wengine wakadhani ni kwasababu ni siku ya kwanza
         Siku ya pili moto ulikuwa Zaidi ya siku ya kwanza makamanda wa Casfeta Tayomi Chuo Kikuu Cha Dodoma walikuwa moto kila sector jikoni mambo yalikuwa moto sifa na kuabudu idara hiyo nayo ilikuwa moto, idara ya maombi wakasimama kwa zamu zao kila sector wakasimama kwa zamu zao. Idara ya IT nayo haikuwa nyuma walihakikisha matukio yanawafikia Watanzania na ilibahatika kuchukuwa baadhi ya matukio kama ifuatavyo!

     


























































































    No comments:

    Post a Comment

    Stay in touch

    Bofya hapa
    kuona matukio ya Mkutano wa Injili wa Inreach ya kanda ya Nyanda za juu kusini.

    Mawasiliano

    CASFETA TAYOMI
    UNIVERSITY OF DODOMA

    Mwenyekiti
    Daniel Saguda M
    +255 753 265 547
    sagudamakuju352@gmail.com

    Makamu mwenyekiti
    Alfreid Benjamin
    +255 754 278 044
    +255 683 075 603
    alfredkiyega@gmail.com

    Katibu Mkuu
    Yosepha Nyakunga
    +255 744 088 978
    yosephanyakunga@gmail.com

    Katibu Msaidizi
    Charles Maganga
    +255 754 599 281
    magangaj850@gmail.com

    Mhazina
    Ndimyake Anganile
    +255 764 133 152
    anganilendimyaki@gmail.com

    Mhazina Msaidizi
    Manyara Helmenegilda
    +255 659 275 793
    manyarahelmenegilda@gmail.com

    Kaka Wa Wakaka
    Yusuph Magaka
    +255 766 196 444

    Dada Wa Wadada
    Sara Sambe
    +255 766 939 415

    Social Network

    You can follow us on Facebook